VICHEKESHO HIVI KIBOKO! SOMA KWA UANGALIFU USIVUNJE MBAVU ZAKO!
KAMA UNAITWA DAUDI
Kama
unaitwa Daudi na una demu wako amekuandikia βsmsβ kuwa anaumwa yupo hospital
anaomba umtumie hela, usimtumie maana kuna demu niko nae hapa kwenye daladala
ndo kaandika hivyo na anacheka ni mzima kabisa.
MAANA YA UJINGA
Ujinga
ni nini? Ujinga ni kulala Giza wakati bibi yako ni mwanga ππ
USIMWAMINI YEYOTE!
Haya
Maisha Duniani hupaswi kumwamini mtu yeyote.... Hivi unajua kuwa hata TANESCO
wana Generator ofisini kwao....
#UaminifuUshaisha
SITASAHAU
Sitasahau
siku nilipotoka nyumbani saa kumi na moja jioni nikiwaacha wanapeta mcheleππππ lakini niliporudi saa mbili nilikuta ugali
mezaniπ°π°π°π°.
Nilihuzunikaπππππ
sana na sito sahau.
GAME LA NYOKA
muda
huu vijana walio single wamelala wameweka mikono yao ndani ya boksa wanacheza game la nyoka.
πππ
SEHEMU ZA SIRI
Sehemu
za siri walikua nazo wazee Wa zamani, sisi tuna sehemu za utalii, kwa sababu
wameona zaidi ya watu 77πππππ
Nakuona
unahesabu wameona wangapi haha haha na si kuona tu hadi kushika....
JUST NUMBER, JUST ROOM
Mike:
I really love her.
Dave:
She is 13 and you're 24.
Mike
: Age is just a number.
Dave:
Yeah and jail is just a room!!
MECHI YA MARUDIO
Nipo
hapa naaangalia mech ya marudio kati ya Liverpool na arsenal Bado Arsenal
wanarudia makosa yaleyale π‘π‘π‘π‘
USIPOPAMBANA UKIWA KIJANA
Yani
usipopambana ukiwa KIJANA... ukija kufa Historia ya marehemu itakua fupi tuβ¦
"Marehemu
alizaliwa, akazurura, Akafa.
TUONYESHANE
Nioneshe
msichana mzuri mjini unae mjua ambae ana
mwanamume mmoja na mimi nitakuonyesha sidiria na sing'lendi yenye mikono mirefu
ππ
DAWA YA MKE MKOROFI
Unapogombezana
na mke wako mkiwa kwenye umati wa watu, ukiona amekaribia kukushinda Mvue wigi
lake.
ππππππππππ
KITUKO CHA BONGO MOVIE
Leo
nimekaa zangu home nikasema ngoja niangalie movie za kibongo ( bongo movie )β¦ mara
paaap! katokea JINI makaburini amevaa
jezi ya LIVERPOOL⦠tena mgongoni
imeandikwa BALOTELIπ€£π€£π€£β¦ nimezima TV yenyewe saa hz niko
zangu mtaani naangalia matarumbetaπ€£π€£π€£
SWALI GUMU LA MROMBO
Mrombo
mmoja alinunua nyama 1kg ili achomewe. Ilipoiva akasema ipimwe tena na ikawa
3/4. Akauliza 1/4 imeenda wapi, akajibiwa imeenda na moto.
Akauliza,
kwa hivyo nikipima 1/4 ikichomwa sitapata kitu? Hadi saai hawajamjibu...
Ameenda tafutwa Meneja. πππ
MGANGA NA BANGO LAKE
Kuna
sehemu nimepita Ilala nikakuta mganga kaweka bango NAWEZA KUMRUDISHA JK
MADARAKANI watu wamejaa huwezi aminiπππππ.